EntertainmentGospel MusicMusicVideo
Rehema Simfukwe – Niko Imara
Tujapopita katika bonde la uvuli wa mauti bado Mungu ameahidi kuwa pamoja nasi. Uhakika tulio nao atusimamisha juu ya mwamba na hakuna la kututikisa.
“Wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni, Ambao hautatikisika, wakaa milele. Zaburi 125:1